Kutafsiri tovuti hii, utahitaji kwenda kwenye tovuti ya tafsiri za Google (kiungo kiko hapa chini chenye rangi nyekundu) lakini kwanza tafadhali kumbuka maagizo yaliyo hapa chini ambayo yatakusaidia unapokuwa kwenye tovuti hiyo (angalia pia mchoro hapa chini).
Katika kikasha cha kwanza andika anwani ya tovuti www.erimushousing.co.uk
Kwenye kikasha kunjuzi kinachofuata (tafsiri kutoka) bonyeza Kiingereza
Kwenye kikasha kunjuzi kinachofuata (tafsiri kuelekea) bonyeza lugha yako unayotaka
Bonyeza kwenye kikasha cha tafsiri.

Bonyeza kiungo hapa chini ili kurambaza hadi ukurasa wa tafsiri Google:
© Copyright 2010 Erimus Housing